You are currently viewing MCHEZAJI  WA  SOKA AFARIKI  AKIWA MECHINI

MCHEZAJI  WA  SOKA AFARIKI  AKIWA MECHINI

  • Post author:
  • Post category:News

Moustapha Sylla, mwenye umri wa miaka 21 na mchezaji soka kutoka nchi ya Ivory Coast ameaga dunia alipokuwa kwenye mechi.

Kulingana na taarifa za AFP, mchezaji huo alipatwa na matatizo ya kiafya alipokuwa akiendelea na mechi.Juhudi za kuokoa maisha yake kwa kumpeleka hospitalini hazikufaulu kwani alifariki kabla ya kuwasili hospitalini.

Mchezaji huyo alifariki jioni ya kuamkia leo alipokuwa kwenye mechi ya RCA vs Sol FC.

Taarifa zaidi kuhusu mchezaji huyu na kifo chake hazijaelezwa zaidi.

Mwandishi, Jane Mwangi.