Orodha iliyotolewa hivi majuzi kuhusu nchi zinazojua kuzungumza kiswahili vizuri zaidi.Huku kukiwa na lugha zaidi ya 2000 zinazozungumzwa barani Afrika, kingereza ndio miongoni mwa lugha hizi na huzungumzwa katika mataifa 25 ya Afrika.
Ukuaji wa lugha huimarisha mazungumzo miongoni mwa raia wa mataifa mbalimbali na inatumika katika masuala mbalimbali ya kibiashara. Aidha, mataifa yanayotumia lugha ya kingereza ni yale yaliyokuwa chini ya wakoloni kutoka uingereza.
Kwa mujibu wa shirika la utafiti la CCJK, orodha ilionyesha kuwa Uganda ndio nchi inayoongoza katika kuzungumza kingereza. Aidha, orodha iliyotolewa ni kama ifuatavyo.
10. Rwanda
9. Ghana
8. Malawi
7. Zimbambwe
6. Botswana
5. Zambia
4 . Kenya
3. Nigeria
2. Afrika Kusini
1. Uganda
By Jane Mwangi