MWILI WA KIJANA ALIYEPOTEA SIKU YA MASHUJAA WAPATIKANA
Mwili wa kijana mmoja anayejulikana kama Raphael Isoe Nyamwaya mwenye umri wa miaka 25 apatikana akiwa ameiaga dunia katika nyumba ya mwendeshaji bodaboda mmoja. Marehemu , kulingana na familia yake,…